TAIFA STARS KUAGWA LEO JIONI NEW AFRICA HOTEL - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAIFA STARS KUAGWA LEO JIONI NEW AFRICA HOTEL

Kikosi cha timu ya Taifa 'Taifa Stars' kitaagwa leo jioni kuanzia mida ya saa 1 kabla ya kwenda Chad kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia. Hafla hiyo ya kuagwa itafanyika katika hoteli ya New Africa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages