Wakati tunapokuwa tunajiandaa kuelekea katika sherehe za miaka 50
ya uhuru Urban Pulse Creative watakua wanakuletea mtiririko wa Mahojiano
maalum kutoka kwa Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda ili kutuelimisha na
kutupatia changamoto mbalimbali zinazozikabili taifa letu.
Hii ni sehemu ya kwanza ya Mahojiano hayo.
Asanteni Sana,
URBAN PULSE CREATIVE
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)