TABORA YAKUMBWA NA UHABA WA MAFUTA IKIWA LEO NI SIKU YA NNE TATIZO LAWA KUBWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TABORA YAKUMBWA NA UHABA WA MAFUTA IKIWA LEO NI SIKU YA NNE TATIZO LAWA KUBWA


Uhaba wa mafuta katika mkoa wa Tabora.Hivi ndivyo hali ilivyo katika pita pita za Latest news Tz na kujionea mstari mrefu watu wakisubiri kupata huduma ya mafuta.Hali hii ilianza kama siku nne zilizopita na kila siku kituo kimoja kinatoa huduma hiyo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages