Mkuu wa mkoa akutana na waandishi wa Habari Muda huu kuzungumzia Sakakata la Vurugu kali Mbeya - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mkuu wa mkoa akutana na waandishi wa Habari Muda huu kuzungumzia Sakakata la Vurugu kali Mbeya

 Mkuu wa Mkoa Muheshimiwa Abas Kandoro akiwa na waandishi wa habari Muda huu wakijadili swala la Mgogoro na wamachinga 
 Bara bara zimefungwa Maeneo ya Mama John Muda huu Live
 Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa kwa umakini kutokana na Sakata Hili la wamachinga
 Wanachi wa Mbeua wakiwa wanashangilia tuu muda huu wakati waandishi wanaendelea na kikao na Mkuu wa mkoa 
Mkuu wa Mkoa Bw. Abas Kandoro akiwa anaongea na Waandishi wa habari.Endelea kufuatilia habari hii kwa Ukaribu zaidi hapa hapa. Picha Kwa Hisani Ya Mbeya yetu Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages