MBUNGE WA SINGIDA MJINI MO DEWJI ATINGA JIMBONI KWAKE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MBUNGE WA SINGIDA MJINI MO DEWJI ATINGA JIMBONI KWAKE

Mbunge wa jimbo la Singida Mjini MO akiambatana na vionozi wa kanisa la FPCT kuelekea kwenye uzinduzi wa kituo cha vijana wa kanisa hilo.
 Mbunge wa jimbo la Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji "MO" akisalimiana na waumini wa kanisa la FPCT  wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha vijana wa Kanisa hilo.
Askofu mkuu wa kanisa la FPCT Paul Samwel akimkabidhi zawadi ya Mbuzi MO kama shukrani ya kutembelea kanisa hilo.
:Mbunge MO akizindua  kituo cha vijana cha kanisa la FPCT eneo la Mwenge mjini Singida, anayeshuhudia na Askofu Mkuu wa kanisa hilo Paul Samwel .
MO Akihutubia waumini wa Msikiti wa Rahman Kindai, katika halfa hiyo MO alichangia mifuko 500 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Msikiti huo
Mh. Mohammed Dewji akijumuika na Vijana wa kanisa la FPCT  kucheza kwaya.
Kwaya ya vijana ya kanisa la FPCT wakitumbuiza katika hafla fupi ya kumkaribisha Mbunge MO DEWJI ndani ya kanisa hilo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages