Sheria Ngowi Alamba Tuzo Mbili Ndani Ya Swahili Fashion Week Awards 2011 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Sheria Ngowi Alamba Tuzo Mbili Ndani Ya Swahili Fashion Week Awards 2011

 Mbunifu wa Mavazi wa Kimataifa Sheria Ngowi(Kulia)akitazama na Bibie Kiki Kwa Makini Tuzo Mbili alizoshinda kutoka Swahili Fashion Week Awards 2011 Jijini Dar es Salaam Juzi.Sheria alishinda Menswear Designer of the Year na Souther Sun Best Fashion Blog of the Year
Mbunifu wa Kimataifa wa mavazi Sheria Ngowi
Mbunifu wa Kimataifa wa mavazi Sheria Ngowi akipokea tuzo yake ya Menswear Designer of the Year ndani ya swahili Fashion Week Awards Jijini Dar es Salaam.Kwa Maelezo zaidi Kuhusu Sheria Ngowi Nenda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages