Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma Leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma Leo


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Simanjiro Christopher Ole- Sendeka kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 15,2011.
Wabunge wa Viti Maalum, Ritta Kabati (kushoto) na Lediana Mng'ong'o wakiteta kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma, Novemba 14, 2011.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages