Prince
Charles of Wales na mkewe The Duchess of Cornwell Camilla Parker Bowles
wakitazama kitabu chenye anuani za posta za zamani na stempu maalum
kabla ya uhuru wa Tanganyika zilizokuwa zikitumika kwa ajili ya shughuli
za mawasiliano. Anayemtazama ni Waziri wa Sayansi na Teknolojia Profesa
Makame Mbalawa.
The
Duchess of Cornwell Camilla Parker Bowles (kushoto) akikabidhi kitabu
kwa Mke wa Rais na Mwenyekiti wa taasisi ya (WAMA), Mama Salma Kikwete
leo jijini Dar es Salaam. Kitabu hicho ambacho kimetimiza idadi ya
vitabu Milioni 1 vilivyotolewa na kutoka kwa taasisi ya British Charity
READ International.
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa taasisi ya (WAMA), Mama Salma Kikwete
akimkabidhi kitabu mwanafunzi wa shule ya sekondari ya WAMA Nakayama
iliyopo Nyamisati wilayani Rufiji mara baada ya kupokea msaada wa vitabu
hivyo kutoka kwa taasisi ya British Charity READ International, ambavyo
vilikadhiwa na The Duchess of Cornwell Camilla Parker Bowles.
Burudani. Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)