RAIS JAKAYA KIKWETE AMPOKEA MTOTO WA MALKIA IKULU DAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS JAKAYA KIKWETE AMPOKEA MTOTO WA MALKIA IKULU DAR

 Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakizungumza na  Mtoto wa Malkia Prince Charles na Mkewe Duchess of Cornwall, wakati walipowapokea Ikulu Dar es salaam leo asubuhi.
  Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongozana na Mtoto wa Malkia Prince Charles na Mkewe Duchess of Cornwall, wakati walipowapokea Ikulu leo asubuhi jijini Dar es salaam. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages