Mwakililishi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu(UNFPA) DKt.
Julitta Onabanjo(kulia) akiongea na waandishi wa habari kuhusu zoezi la
uingizaji wa taarifa za sensa katika mfumo wa komputya mara baada ya
kumalizika kwa sensa ya majaribio hivi karibuni. Mkurugenzi Mkuu wa
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina A. Chuwa (kushoto)
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina A. Chuwa akitoa
ufafanuzi jana jijini Dar es salaam kuhusu zoezi linaloendelea la
uingizaji wa taarifa za sensa ya majaribio kwenye mfumo kwa komputya
mara baada ya kumalizika hivi karibuni katika maeneo mbalimbali nchini.
Kulia ni Mwakililishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya
Watu(UNFPA) DKt. Julitta Onabanjo
Mtaalamu
wa Kampuni ya DRS Gabriel Kago (katikati) akitoa ufafanuzi jana
jijini Dar es salaam kwa waandishi wa habari kuhusu uingizaji wa
taarifa zilizopo katika dodoso la sensa la majaribio katika mfumo kwa
komputya mara baada ya kumalizika hivi karibuni katika maeneo
mbalimbali nchini. Kulia ni Mwakililishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa
Mataifa la Idadi ya Watu(UNFPA) DKt. Julitta Onabanjo na kushoto ni
Mtaalamu wa Mifumo ya Komputya (IT) wa NBS Mwanaidi Mahiza
Mwakililishi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu(UNFPA) DKt.
Julitta Onabanjo(kulia) akiongea na waandishi wa habari kuhusu zoezi la
uingizaji wa taarifa za sensa katika mfumo wa komputya mara baada ya
kumalizika kwa sensa ya majaribio hivi karibuni. Mkurugenzi Mkuu wa
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina A. Chuwa (kushoto)
Kamisaa
wa Sensa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Paul Kimiti(katikati) akielezea
jana jijini Dar es salaam kuhusu jinisi sensa ya majaribio
iliyomalizika hivi karibuni itawawezesha kuimarisha maandalizi ya sensa
hapo mwakani.Picha na Vincent Tiganya-MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)