Miss
Tanzania 2011, Salha Izrael akizungumza kuelezea moja ya vitu vya sanaa
za uchongaji ambazo Nchi ya Tanzania inasifikia kuwa navyo na kuwa ni
moja ya vivutia vya Utalii, wakti alipokuwa akishiriki katika shindano
la Beauty with a Purpose lililofanyika wakati wa chakula chja hisani.
Mrembo huyo aniwakilisha Tanzania katika Mashindano Makubwa ya Urembo
Duniani yanayotaraji kufanyika Novemba 6, 2011 huu jijini London
Uingereza.Picha Kwa Hisani Ya Father Kidevu Blogu
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)