Mama
wa makamo akiwa amepozi na wajukuu zake ombaomba katika eneo la
Magomeni ambao huwatumikisha kwa kuomba kwa ujira wa Soda na chipsi kwa
siku! Askari wa Jiji na wadau wa kutetea haki za watoto mnalijua suala
hili na kama mnalijua wakati taifa likielekea miaka 50 ya Uhuru
mmpepanga kuchukua hatua gani kuliokoa kundi hili la watoto. Tayari mimi
nimeshatumikia kwa upande wangu, wewe je?.
PICHA KWA HISANI YA SAID KHAMIS.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)