RAISI KIKWETE AZINDUA MRADI WA UMEME MKOANI IRINGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI KIKWETE AZINDUA MRADI WA UMEME MKOANI IRINGA

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Ludewa,Mh. Filikunjombe mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa.Rais Kikwete alizindua mradi wa Umeme wa Lumama kijiji cha Mawengi, Ludewa, utoonufaisha wananchi wapatao 10,000 katika vijiji vya Lupande, Mawengi na Madunda
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya Maua kutoka kwa mtoto Chipukizi wakati walipowasili mkoani Iringa.
 
Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakipata maelezo ya Mradi huo wa Umeme kutoka kwa Mtaalam wa Mradi huo.
Kwa Picha Zaidi <<< BOFYA HAPA >>> 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages