Katika Tamasha La STR8
MUZIK lililofanyika Mkoani Dodoma Jana Jumamosi Msanii Juma Nature
alitokea Kuwa Kivutio Kikubwa sana Kwa Mashabiki ambapo walimtaka
Aendelee Kutumbuiza Jukwaani
Msanii wa Kizazi Kipya
Juma Nature akiwa na Kundi lake la TMK Wanaume Halisi wakifanya Makamuzi
Katika Tamasha la STR8 muziki lililofanyika Jumamosi katika viwanja vya
royal village mjini Dodoma.
Juma Nature aka Kiroboto akishusha mistari
ya moja ya nyimbo zake za zamani lakini zilibamba mbaya katika tamasha
hilo la STR8 muzik ndani ya viwanja vya royal village mkoani Dodoma
Msanii Wa Kizazi Kipya Mansu Lii Akiwa Kwa
Steji wakati alipopanda kumpa tafu Juma Mchopanga aka J MO katika
tamasha la STR8 Muzik lililofanyika Jumamosi katika Viwanja Vya Royal
Village mjini Dodoma.
Mashabiki wakiwa wamepandisha mzuka wakati
Juma Nature akiwa Stejini akifanya Makamuzi katika tamasha la STR8 Muzik
lililofanyika katika viwanja vya royal village mjini Dodoma.
...............................................................
Msanii Juma nature alitokea kuvuta hisia za
mashabiki wengi pale alipoanza kuimba nyimbo zake za zamani na
mashabiki kutaka Juma Nature kuendelea kubaki stejini akitoa buradani.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)