RAIS JAKAYA AFUNGUA MKUTANO WA MAJADILIANO YA SEKTA ZA UMMA NA BINAFSI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS JAKAYA AFUNGUA MKUTANO WA MAJADILIANO YA SEKTA ZA UMMA NA BINAFSI

  Rais Dkt Jakaya Kikwete akizungumza wakati akihutubia katika ufunguzi wa majadilino ya sekta za umma-na-binafsi katika kusawazisha uwiano wa kodi katika Afrika Mashariki (Regional Public Private Dialogue on the harmonisation of domestic taxes in the EAC) ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania leo.
 Rais Jakaya Kikwete, akisindikizwa na Waziri wa Afrika Mashariki Samwel Sitta wakati akiingia ukumbini humo kufungua majadiliano hayo..
Baadhi ya wadau waliohudhulia mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages