ABIRIA NA MADEREVA WALIPOAMUA KUMFUNDISHA KAZI ASKARI WA USALAMA BARABARANI KWA KUONGOZA MAGARI YA UPANDE WAO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ABIRIA NA MADEREVA WALIPOAMUA KUMFUNDISHA KAZI ASKARI WA USALAMA BARABARANI KWA KUONGOZA MAGARI YA UPANDE WAO


Baadhi ya Abiria na Madereva walioamua kutelemka katika magari yao na kumzonga Trafic katika mataa ya Ubalozi wiki iliyopia subuhi baada ya trafic huyo kupitisha magari ya upande mmoja kwa muda mrefu, ambapo walikuwa wakipiga honi na makelele huku wakimtusi askari huyo na walipoona hawajali akiendelea kufanya kazi yake waliamua kumfuata na kumsukumiza pembeni kisha wakaanza kuamrisha magari yaliyokuwa upande wao yaani barabara ya Kinondoni inayotokea Mwananyama na kuanza kuyapitisha  huku askari huyo akiyaita magari yanayotoka barabara ya Ali Hassan Mwinyi yaani Mwenge kuelekea Posta, jambo ambalo lilitaka kusababisha ajali siku hiyo.Picha Na Sufiani Mafoto Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages