Meneja wa Tawi la Benki ya NBC Mkoa
wa Tabora, Henry Mwakasendo (wa pili kulia) akikabidhi funguo ya jengo
la bweni la wanafunzi wenye ulemavu la Shule ya Msingi Sikonge,
lililojengwa na NBC kwa Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Sikonge ambaye pia ni
Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Moshi Chang’a, shuleni hapo Mkoani Tabora leo.
Bweni hilo pamoja na ukarabati wa madarasa mawili ya shule hiyo
vimeigharimu NBC kiasi cha shs milioni 67. Kulia ni Mshauri wa Mambo ya
Habari wa NBC, Redemptus Masanja na wa pili kushoto ni Ofisa Uhusiano wa
benki hiyo, Addie Mhina.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)