Busara Promotions Yamzawadia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Busara Promotions Yamzawadia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad

MKURUGENZI wa taasisi ya ‘Busara Promotions’ Yussuf Mahmoud,akimzawadia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,mfuko wenye bidhaa za sanaa zikiwemo CD za muziki,wakati wa mkutano uliofanyika jana na kuwakutanisha viongozi wa taasisi mbalimbali za kitalii na utamaduni pamoja na kampuni za biashara,kwenye hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini. Picha na Haroub Hussein.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages