MKUU WA MKOA WA MBEYA ABASS KANDORO ALIPOKUA AKIELEKEA KATIKA MAJUKUMU YAKE YA KILA SIKU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUU WA MKOA WA MBEYA ABASS KANDORO ALIPOKUA AKIELEKEA KATIKA MAJUKUMU YAKE YA KILA SIKU

MKUU wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro alipokuwa ndani ya gari aina ya Land Cruiser  akivuka kutokea katika mradi mkubwa wa kilimo cha Umwagiliaji uliopo Naming'ong'o katika kijiji cha Nkala kata ya Chitete wilayani Mbozi, wakati Bw.Kandoro akiwa huku akijitoa mhanga kupita ndani ya maji marefu wamachinga Jijini Mbeya walikuwa wakipambana na askari Polisi na kusababisha vurugu kubwa,Bw. Kandoro alilazimika kukatisha ziara yake ya wilaya ,Mbozi na kurudi Jijini Mbeya kufuatia viurugu hizo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages