Mambo ya T.Bonaz Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mambo ya T.Bonaz Dar es Salaam

Mkurugenzi wa T Bonaz George Lulabuka akiwa mzigoni Kwenye Tamasha la Beer Festival lilofanyika jijini Dar es Salam hivi karibuni ambapo T-Bonaz waliiibuka washindi kwa uchomaji Bora wa Nyama ulioenda shule katika hali ya usafi na utamu usio na Mfano,Kwa sasa T -Bonaz wanapenda kuwajulisha wadau Wao kwamba Wakae Mkao wa Kula kwa Upcoming Events Mwezi December Mwaka Huu Jijini Dar es Salaam.Kwa Habari zaidi endelea Kukodolea Macho Ukurasa Huu..

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages