Wasanii
wa Kwaya ya JKT, wakiimba jukwaani wakati wa Onesho maalum la Vyombo
vya Ulinzi na Usalama (VUU) lililoandaliwa kwa ajili ya kuwapongeza
Watanzania kwa kudumisha amani na Umoja katika kuelekea Sherehe za
maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania, lililofanyika kwenye
Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam jana jioni Novemba 8, ambapo
mgeni rasmi alikuwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
Wasanii
wa ngoma ya asili wa kikundi cha Sanaa cha Polisi, wakionyesha umahiri
wao jukwaani wakati wa Onesho maalum la Vyombo vya Ulinzi na Usalama
(VUU) lililoandaliwa kwa ajili ya kuwapongeza Watanzania kwa kudumisha
amani na Umoja katika kuelekea Sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya
Uhuru wa Tanzania, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar
es Salaam jana jioni
Waimbaji
wa Bendi ya Polisi wakiimba jukwaani wakati wa Onesho maalum la Vyombo
vya Ulinzi na Usalama (VUU) lililoandaliwa kwa ajili ya kuwapongeza
Watanzania kwa kudumisha amani na Umoja katika kuelekea Sherehe za
maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania.
Wasanii
wa Kikundi cha Sanaa cha Polisi, wakionyesha umahiri wao jukwaani wa
kicheza Kibao Kata, wakati wa Onesho maalum la Vyombo vya Ulinzi na
Usalama (VUU) lililoandaliwa kwa ajili ya kuwapongeza Watanzania kwa
kudumisha amani na Umoja katika kuelekea Sherehe za maadhimisho ya miaka
50 ya Uhuru wa Tanzania, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond
Jubilee, Dar es Salaam jana.
Wasanii
wa Kikundi cha Sanaa cha Polisi, wakionyesha umahiri wao jukwaani
wakati wa Onesho maalum la Vyombo vya Ulinzi na Usalama (VUU)
lililoandaliwa kwa ajili ya kuwapongeza Watanzania kwa kudumisha amani
na Umoja katika kuelekea Sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa
Tanzania, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam
jana.
Msanii wa kikundi cha Taarab cha JKT, akishambulia jukwaa
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na na Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange na Waziri wa Ulinzi
na Jeshi la Kujenga Taifa, Hussein Mwinyi, wakati alipowasili kwenye
Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana jioni, kufungua
onyesho la maalum la Vyombo vya Ulinzi na Usalama (VUU) lililoandaliwa
kwa ajili ya kuwapongeza Watanzania kwa kudumisha amani na Umoja katika
kuelekea Sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)