Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi Tamasha la Siku ya
Utamaduni wa Mtanzania iliyowasilishwa na na Kabila la Jamii za Mikoa ya
Rukwa na Katavi, lililofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho jijini Dar
es Salaam jana Novemba 25
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati akimpa maelezo kuhusu
kinywaji cha kienyeji Pombe ya Chimpumu inayotumiwa na Kabila la watu wa
Rukwa, wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Siku ya Utamaduni wa Mtanzania
iliyowasilishwa na na Kabila la Jamii za Mikoa ya Rukwa na Katavi,
lililofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam jana
Novemba 25
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimshudia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda , akinywa kinywa cha asili aina
ya Chimpumu ‘Pombe ya Isute’ kinachotengenezwa na Kabila
la watu wa Katavi na Rukwa, wakati wa uzinduzi wa Tamasha
la Siku ya Utamaduni wa Mtanzania iliyowasilishwa na na Kabila la Jamii
za Mikoa ya Rukwa na Katavi, lililofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho
jijini Dar es Salaam jana Novemba 25
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akimpa maelezo ya jinsi ya
kutengeneza Jembe la Asili la Ufipa linalotengenezwa kwa kutumia Chuma
cha asili kinachofuliwa na watu wa Rukwa na Katavi, wakati wa uzinduzi
wa Tamasha la Siku ya Utamaduni wa Mtanzania iliyowasilishwa na na
Kabila la Jamii za Mikoa ya Rukwa na Katavi, lililofanyika kwenye Kijiji
cha Makumbusho jijini Dar es Salaam jana Novemba 25
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa maelezo ya jinsi ya
inavyoandaliwa Pombe ya asili inayotumiwa na watu wa Mikoa ya Rukwa na
Katavi, wakati wa wa uzinduzi wa Tamasha la Siku ya Utamaduni wa
Mtanzania iliyowasilishwa na na Kabila la Jamii za Mikoa ya Rukwa na
Katavi, lililofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam
jana Novemba 25
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoka ndani ya nyumba ya asili ya watu wa Kabila la Wafipa, wakati wa
uzinduzi wa Tamasha la Siku ya Utamaduni wa Mtanzania iliyowasilishwa
na na Kabila la Jamii za Mikoa ya Rukwa na Katavi, lililofanyika kwenye
Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam jana Novemba 25
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakiangalia jinsi watu wa Rukwa na Katavi
wanavyofua na kuandaa Chuma cha asili wakati uzinduzi wa Tamasha la
Siku ya Utamaduni wa Mtanzania iliyowasilishwa na na Kabila la Jamii za
Mikoa ya Rukwa na Katavi, lililofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho
jijini Dar es Salaam jana Novemba 25
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alipokuwa akimwelezea jinsi ya
kuandaa na kumkausha samaki anayetumiwa zaidi na watu wa Rukwa na
Katavi, wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Siku ya Utamaduni wa Mtanzania
iliyowasilishwa na na Kabila la Jamii za Mikoa ya Rukwa na Katavi,
lililofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam jana
Novemba 25. Picha na Muhidin Sufiani-OMR





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)