Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akiwapungia
mikoni mashabiki wa soka wakati alipofika kwenye uwanja wa Taifa jijini
Dar es salaam leo jioni kwa ajili ya kuzindua rasmi michuano ya TUSKER
CECAFA CHALLENGE CUP 2011, ambapo michuano hiyo leo imezikutanisha timu
za Tanzania Kilimanjaro Stars na Timu ya Taifa ya Rwanda Amavubi.
Kipute hicho kimemaizika kwa timu ya Rwanda kuibuka na ushindi wa bao
1-0 lililofungwa katika kipindi cha kwanza na bao hilo kudumu hadi
mwisho wa mchezo huo.
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)