Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt.
Julius Ningu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo
Novemba 3, 2011, kuzungumzia maandalizi ya Mkutano wa 17 wa Nchi
zilizoridhia mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya Tabia nchi
unaotarajia kuanza mwishoni mwa mwezi huu Durban Afrika ya
Kusini. Kushoto ni, Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira, Ofisi ya
Makamu wa Rais, anayeshughulikia mabadiliko ya Tabianchi, Richard
Muyungi. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)