Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua
Mkutano wa Mawaziri wa Wizara za Maendeleo ya Wanawake na Watoto, wa
Nchi za Maziwa makuu , uliofunguliwa leo, katika Ukumbi wa AICC jijini
Arusha.
Baadhi
ya washiriki wa Mkutano huo kutoka nchi mbalimbali wakiwa katika Ukumbi
wa AICC, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akisoma hotuba yake ya
ufunguzi wa mkutano huo eliofunguliwa leo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Wanawake na Watoto
Zanzibar, Zainab Omar, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa
Arusha, kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano wa Mawaziri wa Wizara za
Maendeleo ya Wanawake na Watoto, wa Nchi za Maziwa makuu, ulioanza leo
Novemba 4, katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC jijini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiondoka ukumbini humo baada ya kufungua mkutano huo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)