Mwili wa marehemu Samweli Julius ambaye alikuwa ni msaidizi wa
mitambo ya kutengeza barabara, ukiwa umenasa juu ya mti.
Mfanyakazi wa Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya
Rwanda (ICTR), Augustino Masige, aliyekuwa akiendesha gari namba T573
AHW, akitoka Arusha kwenda Musoma, akisimama kando ya gari lake
lilosukumwa na maji umbali wa mita 50 toka barabarani.
Lori la mizigo namba T190 AKW likiwa limebeba mitambo ya
kutengeneza barabara likitoka Engaruka kwenda Arusha.
Hii ni nguzo ya umeme iliyopo maeneo hayo ambayo nayo wakati
wowote yawezakuanguka.
Polisi walifika eneo la tukio na kufanya ugaguzi wa matukio hayo
ya ajali.
Polisi wakatoa idhini sasa ya mwili wa Samweli kutolewa katika
eneo ulipopatikana.
Njia hii ikafungwa nusu kuepusha maafa kutokea baada ya kipande
cha barabara hiyo kumegwa na maji katika daraja la Mto Loobuko.
Hivi ndivyo kipande hicho cha barabara kilivyomegeka na maji.
Hakika
maafa yatokeapo hukumba kila kiumbe hai katika jamii. Mbwa huyu si kuwa
aliathirika na mafuriko hayo bali alionesha uzalendo wake wa kweli na kufika katika eneo la tukio na kuangalia mwenyewe kilichojiri. Picha zote na mwakilishi wa Latest news Tz Francis
Tumbo




















No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)