Baada ya Kuadhimisha sherehe za miaka 50 ya
Uhuru wa Tanzania Bara na uzinduzi wa albamu mpya ya 11 inayoitwa Dunia
Daraja Bendi ya Twanga Pepeta Inakuletea video yao mpya ya single yao
inayoitwa Dunia Daraja
Kutokana na maombi mengi ya washabiki Twanga Pepeta itafanya Show ya pili siku ijumaa Tarehe 2 Desemba 2011 katika mji wa Milton Keynes kwenye ukumbi wa Golden Lounge, Unit 35 Barton Road, Bletchley Milton Keynes. MK2 3UH
Asanteni
Urban Pulse Creative wakishirikiana na Miss Jestina Blog
Urban Pulse Creative wakishirikiana na Miss Jestina Blog





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)