Jana kulikua na foleni ndefu sana kuanzia maeneo ya dodoma hotel hadi mjini kutokana na magari mengi kutoka katika mahafali ya chuo kikuu cha dodoma na kusababisha magari kusongamana sana barabarani na leo pia tutarajie hivyo hivyo maana leo ni siku ya pili ya mahafali ya chuo kikuu cha dodoma kwa vitivo vya Elimu na Mawasiliano ya Kompyuta.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)