Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Na Raisi Mstaafu wa awamu ya tatu Mh Mkapa akiongoza na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo kikuu Cha Dodoma Balozi Juma Mwapachu (wa kwanza Kushoto) na Makamu mkuu Wa Chuo Elimu,utafiti na Ushauri Prof Ludovick Kinabo (wa kwanza kulia) na Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Prof Idrisa Kikula (nyuma) walipokuwa wakiondoka katika viwanja vya mahafali ya Chuo Kikuu Cha Dodoma hapo jana mara baada ya kumaliza kuwatunuku shahada wahitimu wote wa shahada ya kwanza na uzamili.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)