Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga (katikati) akikata utepe kufungua jengo la kibiashara la Quality Centre, Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga (katikati) akikata utepe kufungua jengo la kibiashara la Quality Centre, Dar es Salaam

Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga (katikati) akikata utepe kufungua jengo la kibiashara la Quality Centre, Dar es Salaam. Wengine ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad (kulia kwake), Makamu wa pili wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi (wa pili kulia), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Quality Group, S. Vaasudhevan. (Picha na Fadhili Akida).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages