DR. Regina
Kapinga
Mama Regina (Program Officer
of Bill & Melinda Gate Foundation) ni Mtanzania wa kwanza kuchaguliwa kuwa
Staff wa Bill and Melinda Gate Foundation.
kutokana na Elimu na uzoefu
aliokuwa nao katika kufanya kazi kwenye Taasisi za kimataifa, Taasisi ya
kimataifa inayomilikiwa na Tajiri mkubwa Duniani Bill Gate ambaye ni mmiliki wa
kampuni kubwa ya technolojia ya Microsoft ikaona imtumie katika kuweza kusimamia
shughuli zote zinazohusu misaada mbali mbali katika mabara maskini Duniani,
yaani Afrika na Asia.
Watanzania tunakutakia afya
njema ili uweze kuitangaza zaidi Nchi yetu, tunaamini kupitia wewe Taifa letu
litafaidika na misaada mbali mbali kutoka kwenye Foundation hiyo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)