Dk Salim Ahmed Salim,Jaji Joseph Sinde Warioba Wakiteta Jambo na Dk Wilbrod Slaa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Dk Salim Ahmed Salim,Jaji Joseph Sinde Warioba Wakiteta Jambo na Dk Wilbrod Slaa

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi wa Mwalimu Nyerere,Salim Ahmed Salim (kushoto)na Waziri Mkuu Mstaafu,Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati)wakiteta jambo na Katibu Mkuu wa Chama cha(CHADEMA) Willbroad Slaa,nje ya ukumbi, wakati Mdahalo wa Nafasi ya Umuhimu wa Katiba katika Maisha ya Watanzania,uliofunguliwa leo Novemba 17, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Mohammed Gharib Bilal, katika Jumba la Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu Wa Rais

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages