David Mattaka Apndishwa Kizimbani Leo Jijini Dar es Salaam Kwa Kosa La Kushindwa Kutoa Taarifa Sahihi Za Matumizi Ya Vitu Mbalimbali Vya Shirika la Ndege Tanzania(ATCL) - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

David Mattaka Apndishwa Kizimbani Leo Jijini Dar es Salaam Kwa Kosa La Kushindwa Kutoa Taarifa Sahihi Za Matumizi Ya Vitu Mbalimbali Vya Shirika la Ndege Tanzania(ATCL)

Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL),David Mataka akitoka katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo ambapo alisomewa jumla ya mashitaka matatu likiwemo la kushindwa kutoa taarifa sahihi za matumizi ya vitu mbalimbali vya shirika hilo.Bw.Mataka ameachiwa kwa Dhamana ya Sh. Mil.20 kutoka kwa wadhamini wawili tofauti ambao kila mmoja amemdhamini kwa sh.Mil. 10.
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL),David Mataka akisindikizwa na askari Polisi wakati akitoka kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo alikosomewa mashtaka matatu likiwemo la kushindwa kutoa taarifa sahihi za matumizi ya vitu mbalimbali vya shirika hilo.Picha na Francis Dande

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages