Taswira Za Wajumbe Wa Kamati Kuu Ya CCM Mjini Dodoma - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Taswira Za Wajumbe Wa Kamati Kuu Ya CCM Mjini Dodoma

 Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM(Kushoto)Mheshimia Sophia Simba,Capt John Chiligati na January Makamba wakiteta jambo ndani ya ukumbi wa CCM wa White House kabla ya kuanza kwa Kikao Chao Leo.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakiwandani ya ukumbi wa CCM wa White House Mjini Dodoma
Waandishi wa Habari wakiwa nje ya ukumbi wa Makao Makuu ya CCM(White House)Mjini Dodoma Leo.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages