Zitto Kabwe Ndani Ya Kamati Ya Bunge.. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Zitto Kabwe Ndani Ya Kamati Ya Bunge..

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), Kabwe Zitto na Katibu wa Kamati hiyo, Eric Maseke wakitafakari jambo wakati wakijadili utendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), katika kikao cha kamati hiyo, Dar es Salaam jana.Picha na Richard Mwaikenda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages