Urban Pulse Creative wakiwa na Mwandishi Nguli wa habari Freddy
Macha wanakuletea video fupi ambayo wanazungumzia uzoefu wao, changamoto
walizopata na Kujifunza wakati walipofanya Mahojiano Maalum na Mh.
waziri mkuu Mizengo Pinda hivi karibuni hapa nchini Uingereza.
Mahojiano haya yatarushwa kupitia kituo cha Stat TV katika kipindi
cha Medani za Siasa jumapili hii ya tarehe 30 oktoba 2011 mnamo saa
10.30 asubuhi. Tafadhali usikose kuangalia.
Asanteni sana,
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na STAR TV





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)