Mchezaji
Philbert Mwaipungu wa timu ya ABC, akitafuta mbinu za kuwapita
wachezaji Yesfin Yohana (katikati) na Daniel Ergetu wa EWSA ya Ethiopia
katika mashindano ya mpira wa kikapu ya Kanda ya Tano ya Afrika
Mashariki jana kwenye Uwanja wa ndani wa Taifa, Dar es Salaam jana. ABC
ilishinda 68-36.
Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta akijiandaa kurusha mpira wakati wa ufunguzi wa mashindano ya mchezo wa kikapu Kanda ya Tano, juzi kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam.Picha na Richard Mwaikenda
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)