Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimia na Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil
Antonio de Aguiar kabla ya mazungumzo yao kwenyeOfisi za Wazira ya
Mambo ya Nje wa nchi hiyo katika ofisi zilizoko Brasilia,October
10,2011.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kiongozwa kuingia kwenye Ofisi za Wazra ya Mambo
ya Nje ya Brazil jijini Brasilia kukutana na Waziri wa Mambo ya nje wa
nchi hiyo,Antonio de Aguiar,(hayupo pichani)October 10,2011.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)