WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATEMBELEA BANDA LA VODACOM KATIKA MAONYESHO YA BIDHAA ZA WAWEKEZAJI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATEMBELEA BANDA LA VODACOM KATIKA MAONYESHO YA BIDHAA ZA WAWEKEZAJI

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiangalia moderm ya intaenti ya kampuni ya Vodacom wakati Meneja Mawasiliano wa kampuni hiyo, Salum Mwalim akimpatia maelezo ya moderm hizo,wakati Waziri Mkuu alipotembelea banda la Vodacom katika maonyesho ya bidhaa na huduma pembezoni mwa mkutano wa wadau wa uwekezaji eneo la ziwa Tanganyika unaofanyika Mjini Mpanda. Mkutano huo utafunguliwa kesho Oktoba 17, na Rais Dk. Jakaya Kikwete.
 Meneja Mawasiliano wa kampuni ya Vodacom, Salum Mwalim akimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa SACP Isunto Mantage, wakati wawili hao walipokutana katika banda la Vodacom katika maonyesho ya wadau watakaoshiriki mkutano wa uwekezaji katika ukanda wa ziwa Tanganyika mjini Mpanda. Kampuni ya Vodacom imefadhili chakula cha mchana na cha usiku kwa wajumbe zaidi ya mia nne watakaohudhuria mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages