WAZIRI MKUU ATEMBELEA MAKAZI YA BALOZI WA TZ - BRASILIA NCHINI BRAZIL - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU ATEMBELEA MAKAZI YA BALOZI WA TZ - BRASILIA NCHINI BRAZIL

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafamilia wa Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Brazil wakti alipowasili kwenye makazi ya Balozi katika jiji la Brasila akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 6,2011. Kulia ni Mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages