WAZIRI wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Emmanuel Nchimbi (wa kwanza
kushoto) akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa Kampuni ya
Tanzania Standard Newspapers (TSN) katika banda la kampuni hiyo kijijini
Butiama mkoani Mara, kwenye maonesho ambayo ni sehemu ya maadhimisho ya
wizara ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Pembeni mwa Waziri ni
Meneja Uchapishaji, John Mcharo aliyemwakilisha Mhariri Mtendaji katika
maadhimisho; wanaotoa maelezo ni ofisa Usambazaji wa TSN, Judith Ngomo
(wa kwanza kulia) na Ofisa Masoko na Mauzo, John Koyi
(Picha na Stella
Nyemenohi).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)