Mkuu wa Wilaya ya Rorya Bw. Benedict Kitenga
(kulia) akaikata utepe kufungua madarasa mawili yenye thamani ya
shilingi milioni 30 yaliyojengwa katika shule ya Sekondari TAI
wilayani humo kwa msaada wa Vodacom Foundation, (kushoto) ni Meneja wa
mfuko wa huduma za kijamii (Vodacom Foundation) Yessaya Mwakifulefule.
Meneja wa mfuko wa huduma za kijamii wa
Vodacom Foundation Bw. Yessaya Mwakifulefule (kulia) akizungumza katika
hafla fupi ya kukabidhi madarasa mawili yenye thamani ya shilingi
milioni 30 yaliyojengwa kwa msaada wa mfuko huo katika Shule ya
Sekondari TAI iliyoko Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, (kushoto) ni Mwalimu
Mkuu wa shule hiyo Bw. Richard Okore.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)