Mwanamuziki
Cabo Snoop kutoka nchini Angola akifanya vitu vyake jukwaani huku
akisasaidiwa na meneja wake kulia wakati wa tamasha la Family Day
Bonanza lililofanyika jana kwenye viwanja vya Leadesr Kinondoni jijini
Dar es salaam na kushirikisha pia wasanii kadhaa wa nyumbani Tanzania
wakiwemo Diamond, Islay na Baendi ya African Stars ya jijini Dar es
salaam.
Msanii
Islay akifanya vitu vyake na wimbo wake "NAENDA KUSEMA KWA MAMA" msanii
huyo amekuwa akivuma kwa sasa na wimbo wake huo na kujipatia sifa kibao.
Mwanamuziki
Diamond akiimba jukwaani katika tamasha hilo lililofanyika jana kwenye
viwanja vya Leaders.
Mambo
ya Chakacha nayo yakashika kasi katika tamasha hilo kama ubavyoona
katika picha hii wanenguaji hwa wakifanya mambo makubwa jukwaani.Kwa Hisani Ya Full Shangwe Blogu




No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)