Mkazi wa Kitongoji cha Kinyenze, Mary Nathan akipita katika njia ndogo
iliyofunguliwa na mwekezaji raia wa kigeni alinayemiliki ardhi katika eneo la kitongoji hicho kilichopo Kijiji cha Kipera Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro. Mwekezaji huyo analalamikiwa na wakazi wa kijiji
hicho kufunga njia na kuvamia mashamba yao. Wakazi hao bado
wanalalamika kuwanjia hiyo licha ya kufunguliwa lakini
imetengenezwakama ya kupitisha mifugo kwani ni nyembamba na
hairuhusiwi kupitisha gari wala pikipiki jambo ambalo bado ni kero
kubwa kwa wakazi hao.
Mkazi wa Kitongoji cha Kinyenze, Nuru James akipita katika njia ndogo
iliyofunguliwa na mwekezaji raia wa kigeni alinayemiliki ardhi katika
eneo la kitongoji hicho kilichopo Kijiji cha Kipera Wilaya ya Mvomero
Mkoani Morogoro. Mwekezaji huyo analalamikiwa na wakazi wa kijiji
hicho kufunga njia na kuvamia mashamba yao. Wakazi hao bado
wanalalamika kuwanjia hiyo licha ya kufunguliwa lakini
imetengenezwakama ya kupitisha mifugo kwani ni nyembamba na
hairuhusiwi kupitisha gari wala pikipiki jambo ambalo bado ni kero
kubwa kwa wakazi hao. (Picha na Mroki Mroki).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)