
Mhe. David Kafulila akitimiza haki yake ya kidemokrasia kwa kupiga kura ya kumchagua Rais wa IPU

Spika
wa Bunge la Uganda Mhe. Rebecca Kadaga (kushoto)akimpongeza Spika wa
Morocco Bwa. Radi A.kwa kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa IPU

Ujumbe
wa Tanzania katika mkutano wa 125 wa IPU chini ya uongozi wa Spika
Makinda (katikati) ukijadili jambo mara kabla ya uchaguzi mkuu wa Rais
wa IPU. Kulia kwake ni Mhe. Angela Kairuki na Kushoto ni Mhe Suzan
Lyimo.Mhe.Kairuki amechaguliwa kuziwakilisha nchi za Afrika katika
Kamati ya Bunge la Dunia inayoshughulikia Haki za Binadamu na Wabunge.Mhe.Hamadi Rashid ni Makamu wa Rais wa Kamati ya Bunge la
Dunia inayoshughulikia Maendeleo endelevu,Fedha na Biashara.
Picha na Prosper Minja-BUNGE





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)