MSANII ALLY KIBA AWA KIVUTIO TAMASHA LA MTIKISIKO NA EBONY FM MAFINGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MSANII ALLY KIBA AWA KIVUTIO TAMASHA LA MTIKISIKO NA EBONY FM MAFINGA

Msanii maarufu Ally Kiba akipagawisha katika tamasha la Mtikisiko 2011 na Radio ebony Fm chini ya udhamini wa Voda Com,Pepsi na Mucoba Benki
Ally Kiba akionyesha ujuzi wake katika kucheza na kundi lake

mambo yazidi kunoga katika uwanja wa RMA Mafinga
Watangazaji wa Radio Ebony FM wakishuhudia tamasha ,Burudani hii itajaraji kufika kikomo na usiku itahamia ukumbi wa Ebony Shimoni ambako MR Bluu atapagawisha huku.Kwa Hisani Francis Godwin Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages