Shindano
la kumsaka mrembo wa Chuo Kuu cha Kimataifa Kampala (KIU) 2011
litarajiwa kufanyika leo katika ukumbi wa Savanna Lounge (Quality
Center) uliopo barabara ya Pugu, ambapo jumla ya warembo 12 watapanda
jukwaani kuwania taji hilo leo 22 Octoba 2011.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)