CONGRATULATION MISS JESTINA GEORGE FOR WINNING BEFFTA AWARDS-BLOG OF THE YEAR 2011 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CONGRATULATION MISS JESTINA GEORGE FOR WINNING BEFFTA AWARDS-BLOG OF THE YEAR 2011


 
 Miss Jestina George akitoa mawili watatu mara baada ya blogu yake kutangazwa mshindi wa blogu ya mwaka 2011 usiku wa kuamkia leo


Miss jestina George akiwa katika kinyanganyiro cha BEFFTA AWARDS ambapo blogu yake ilikua katika kipengele cha blogu ya mwaka 2011 na kuibuka mshindi wa blogu ya mwaka 2011.Hongera Miss Jestina George Blogu kwa kazi nzuri sana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages