Kaimu Mkuu wa
Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,
Jordan Rugimbana (kushoto) akifungulia maji wakati wa uzinduzi wa
mradi huo, ambao ulikabidhiwa kwa uongozi wa Soko la Machinga. Kulia ni
Mkurugenzi wa Uhusiano wa TBL, Steve Kilindo ambayo imejenga mradi huo
kwa sh. mil. 21.
Kaimu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya
Kinondoni, Jordan Rugimbana (kushoto) akimtwisha mfanyabiashara wa Soko
la Machinga la Mchikichini, Asumpta Mosha ndoo ya maji baada ya
kuzindua mradi wa maji uliojengwa kwa sh. mil. 21 na Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL). Hafla hiyo ilifanyika sokoni hapo Dar es Salaam jana





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)