Waziri mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Bw. Francisco Basilio - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Bw. Francisco Basilio

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya bidhaa mbalimbali za kilimo za Tanzania na jarida, Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa mazao ya kilimo cha Embrapa kilichopo, Brasilia, Bw. Francisco Basilio wakati alipotembelea Kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil October 6,2011.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages